Friday, August 27, 2010

CUF Watangaza Manifesto yao!


Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) na Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba (katikati)akionesha kwa waandishi wa habari ilani ya uchaguzi wa Chama hicho ya mwaka 2010 jana jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mgombea mwenza wa CUF, Juma Duni Haji na kulia ni Mkurugenzi wa Siasa Taifa Mbarala Maharagande.

No comments:

Post a Comment