Thursday, April 29, 2010

Amavubi lazima waangukie pua!


WACHEZAJI wa Taifa Stars wametamba kuwa wataifunga Rwanda 'Amavubi' Jumamosi na kujiwekea mazingira mazuri ya kufuzu kwa fainali za Afrika za wachezaji wa ndani (CHAN), pichani

Kocha Mkuu wa Taifa Stars Marcio Maximo akizungumza na wachezaji wake katika uwanja wa karume jijini dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment