Thursday, April 29, 2010

Mafuriko Dar kila sehemu!



Magari yakipita katika dimbwi la maji lililopo katika barabara ya Nyerere karibu na Kiwanda cha Uchapaji cha Taifa (KIUTA) Dar es Salaam kufuatia mvua iliyonyesha jana.

No comments:

Post a Comment