Thursday, April 29, 2010

Bonge!


Mtangazaji maarufu wa kituo ambacho ni maarufu zaidi nchini cha radio cha Clouds Fm, al-maarufu kama Bonge. Ally ama Bonge kwa jina analojulikana zaidi, ni dereva na fundi makenika aliyegeuka kuwa ripota maarufu wa kero na changamoto zinazowakabili wananchi barabarani na maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na mara nyingine hata mikoani anapokwenda kutembelea.

No comments:

Post a Comment