
BAADA ya viongozi wapya wa Simba kuchaguliwa juzi, mgombea aliyefungua mashtaka mahakamani kupinga kuenguliwa katika kinyanganyiro cha uchaguzi huo Michael Wambura, ametangaza kufuta kesi na badala yake, anaunga mkono uongozi wa Mwenyekiti mpya Aden Rage.
Wadau wa soka wamempongeza Wambura kwa kufikia hatua hiyo, inasemekana Bwa. Wambura amefikia uamuzi huo baada ya kufanya mazungumzo na Ismail Aden Rage.
No comments:
Post a Comment